NEW JOINT: DR. KAIS feat. JUX FLUX - HELLOW___prod_by_Divai_CREATIVITY MUSIC

Thursday, July 17, 20140 comments

     Anakwenda kwa jina la DR. KAIS kutoka Musoma-Mara-Tanzania (MASSTOWN), Hapa ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la HELLOW akiwa amemshirikisha JUX FLUX.         Mzigo umepikwa kwenye studio za CREATIVITY MUSIC chini ya producer Divai zilizoko Mkoani Mara.
   Ni muziki mzuri kwani unaonyesha jinsi gani vipaji kutoka mikoani vinavyofanya vizuri. Big up kwa mtayarishaji wa kazi hii (DIVAI)kwani ameonyesha utata na uzoefu wake katika Industry hii ya muziki hasa wa kizazi kipya ambao ndio kipenzi cha ma'teenager.
DOWNLOAD AND LISTEN HERE

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Ommy Runner | WE RUN ALL RUNNERS INC
Copyright © 2011. MASSTOWN MOVEMENTS - All Rights Reserved
Template Created by RUNNER INC Published by Ommyrunner
Proudly powered by MASSTOWN