DOWNLOAD #NEW CONSIOUS TRACK: DON MURA EXPENDABLE - USIOGOPE _PROD BY OMMYRUNNER

Wednesday, December 17, 20140 comments

     Kwa kufungua mwaka 2015!!!!! Huyu ni DON MURA EXPENDABLE kutoka MASSTOWN - MUSOMA,  hapa kaachia track ake mpya inayokwenda kwa jina la "USIOGOPE". Track hii imefanyika katika studio za HARSH BASE MUSIC zilizopo jijini Mwanza chini ya producer OMMYRUNNER.
    In reality jamaa kaongea vitu vya muhimu vinavyohusu maisha ya sasa na hali halisi iliyopo nchini. Ndani yake kuna verse inasema 'Daudi angekuwa......asingemuua Goliati'  Sikiliza nyimbo hii kwa makini kisha sambaza kwa wengine ili elimu na ujumbe ufike kama ulivyopangwa.
    Kuwa wa kwanza kuiskiliza na kudownload track hii hapa

Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Ommy Runner | WE RUN ALL RUNNERS INC
Copyright © 2011. MASSTOWN MOVEMENTS - All Rights Reserved
Template Created by RUNNER INC Published by Ommyrunner
Proudly powered by MASSTOWN