Kwa kufungua mwaka 2015!!!!! Huyu ni DON MURA EXPENDABLE kutoka MASSTOWN - MUSOMA, hapa kaachia track ake mpya inayokwenda kwa jina la "USIOGOPE". Track hii imefanyika katika studio za HARSH BASE MUSIC zilizopo jijini Mwanza chini ya producer OMM...
Read moreKwa mara nyingine tena huyu ni RAMAWISE kutoka MASSTOWN (MUSOMA) hapa akiwa na MAGADASH kutoka CARBON14- MECCO (MWANZA) hapa wameachia JOINT ya maana inakwenda kwa jina la INAWEZEKANA, Track imefanyika katika studio za ACUTE MU...
Read moreA female artist known as MARYICKER released her beautiful song called BROKEN HEART. This track produced by EDDY DAVOICE in DAVOICEZ RECORDS at Musoma-Mara-Tanzania. Of course it is agood music according to the lady has sung. Big up to Davoice f...
Read moreAnakwenda kwa jina la DR. KAIS kutoka Musoma-Mara-Tanzania (MASSTOWN), Hapa ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la HELLOW akiwa amemshirikisha JUX FLUX. Mzigo umepikwa kwenye studio za CREATIVIT...
Read moreHarakati za kupinga Matumizi ya madawa ya kulevya na maambukizi ya virusi vya UKIMWI (drug abuse & HIV/AIDS Transmission) kwa kupitia burudani ya muziki zinazoendelea mkoani Mara, Jana zilikuwa maeneo ya Majita road Musoma mjini ambapo ziliudhuririwa na...
Read moreMASSTOWN MOVEMENTS STREET TOURS zilizoanzishwa mwishoni mwa mwaka jana huku zikipewa sapoti au kuendeshwa na wasanii wenyewe mkoani humo zilikuwa maeneo ya baruti stendi Musoma mjini. Harakati za kupush 'game' ya muziki mkoani Mara zinazojulikana kama &...
Read moreKatika project ya TOKOMEZA USHOGA inayoendelea mkoani Mara ambayo inaendeshwa na wasanii wa mkoa huo, Hii ni track kutokwa kwa BLEZ akiwa na RAMAWIZE nyimbo inaitwa MISS DEL DUERO iliyofanyika katika studio za UBUN...
Read moreBaada ya kimya cha muda murefu. kundi zima la WAKUBWA WA JIJI kutoka jijini Mwanza 'Rock city' wanaachia video yao mpya inayokwenda kwa jina la ZIPATE TUKUJUE iliyofanyika katika studio za OVER THE CLASSIC VIDEO chini ya 'director Saimaco. ...
Read more
DOWNLOAD #NEW CONSIOUS TRACK: DON MURA EXPENDABLE - USIOGOPE _PROD BY OMMYRUNNER
Wednesday, December 17, 20140 comments

NEW JOINT!!!! RAMAWISE feat. MAGADASH - INAWEZEKANA___prod_by_ommyrunner_ACUTE_MUSIC
Monday, August 11, 20140 comments

CHECK OUT GOOD MUSIC: MARYICKER - BROKEN HEART ___prod by Eddy Davoice @Davoices Records
Monday, July 28, 20140 comments
