LazzyBaby as music artist from MARA also ni katibu wa MARA GAME ORGANIZATION(M.G.O) Ikiwa ni muunganiko wa wasanii kutoka mkoa wa MARA ulioanzishwa rasmi tarehe 20/04/2013 maeneo ya TEMBO BEACH MUSOMA Ukiwa na Lengo la kulinda haki za Wasanii wa muziki mkoani humo, waliweza kuchagua viongozi mbalimbali wa 'Organization' hiyo kama vile MWENYEKITI -BLEZ kutoka RAP GENERATION(MUSOMA) pia KATIBU- LAZZYBABY rapper kutoka SAINT HUSTLERS(MUSOMA) na MUHASIBU -IDDICOM kutoka I'COM VIDEOS (MUSOMA)
Hapa LAZZYBABY afunguka kuwakumbusha wasanii mkoani MARA kuhusu mchakato wa M.G.O
HUYU HAPA:
''Mara game organization{M.G.O}tena.hii ni tena na tena juu ya mwaliko wake kwa wanachama wake walio hai kukutana j/mosi ya kila wiki pale TEMBO B-CH saa 11 kamili jioni ili tukamilishe na kuendeleza maazimio ya MGO Bila kusahau wanachama wapya kiingilio ni 10000/=mengi t...'' ....TonNy Lazzybaby Banks
LAZZYBABY AKUMBUSHIA MCHAKATO KUHUSU MARA GAME ORGANIZATION(M.G.O)
Monday, April 29, 20131comments
Related Articles
- 3 reasons to put your next production in the cloud
- 22 MINUTE FILM DIRECTED BY P.s. Los Bandoleros FAST & FURIOUS
- MASSTOWN MOVEMENTS STREET TOURS
- PATTY AWAPA SUPRISE WASANII WA MUZIKI MKOANI MARA
- Wizkid Drops N3M, 2face - N1.5M, Don jazzy- N1m, Ice prince- N500K To #SaveOJB
- PATTY DEL DUERO ATAFUTA MTU MWENYE UWEZO WA KUANDIKA MISTARI YA HIP-HOP AU R&B
+ comments + 1 comments
Lazima watu wafunguke......Utalii kwenye Game "NOP!!!"
Ubunifu yakinifu wahitajika pamoja na vi2 vipya kwa ma mc wetu....rrrrrrrrrrrrra
Post a Comment