NEW TRACK: BLEZ feat. RAMAWISE - MISS DEL DUERO prod by Divai @UBUNIFU RECORDS
Tuesday, February 25, 20140 comments
Katika project ya TOKOMEZA USHOGA inayoendelea mkoani Mara ambayo inaendeshwa na wasanii wa mkoa huo, Hii ni track kutokwa kwa BLEZ akiwa na RAMAWIZE nyimbo inaitwa MISS DEL DUERO iliyofanyika katika studio za UBUNIFU RECORDZ zilizopo mkoani Mara - Masstown - Musoma chini ya producer Divai.Nyimbo ipo kama inamuongelea mtu flani lakini maudhui yanalenga kupinga vitendo vya kishoga ambavyo vimedhaniwa kuingia mkoani humo.
Nchi za magharibi zimetokea kuahalalisha vitendo hivi ambavyo ni chukizo kwa Mungu. But the truth will still behind kwamba mwanaume 'kuliwa kama mboga' ni jambo la ajabu na ni kinyume na maadili na hairuhusiwi kisheria katika nchi yetu na hata Mungu hapendi kwani kihistoria kulikuwa na mji wa SODOMA na GOMORA ambao aliuangamiza kutokana na vitendo vya mji huo kuwa na tabia chafu kama hizo za kishoga. Pia blog hii iko msitari wa mbele kupinga uchafu huo. CHECK THIS OUT
Related Articles
- Alawi Ft Ommy Dimpoz - Nataka Leo.mp3
- Aika and Nahreel - USINI BWAGE.mp3
- NEW TRACK kutoka kwa WASSAGA - TEREMA __Check it out
- NEW TRACK.. RAMSOLEEN FEAT. BLAZE - NJOO ...Check this out
- Mzigo mpya kutoka kwa CASH DONTA - MGUU KWENYE PEDELI__prod by OMMYRUNNER_NEXUS MUSIC__MIXTAPE
- NEW TRACK: MOW MATHEMATICAL - MAHESABU_PRODUCED BY OMMYRUNNER_NEXUS MUSIC
Post a Comment